National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Tunakuwa tunapika 😅😅Mnajuana😂😂😂.. Na mwenzio yule wa around 05:30 to 06:58😀😀😀
Tunakuwa tunapika 😅😅Mnajuana😂😂😂.. Na mwenzio yule wa around 05:30 to 06:58😀😀😀
Wamelala wanasubiri mda wa dakuam 4 real , Poor Brain leo vipi😔
Eehh kula ni muhimu 😀😀Tunakuwa tunapika 😅😅
Sanaaaa, kula ni uhai.. usipokula kuna mambo hayatekelezekiEehh kula ni muhimu 😀😀
😂😂😂Utatekelezaje ukiwa na njaa? 😂😂😂Sanaaaa, kula ni uhai.. usipokula kuna mambo hayatekelezeki
Ila kuna kusingizia homa pia 😅😅😂😂😂Utatekelezaje ukiwa na njaa? 😂😂😂
Kwamba unakua uko hoiiii.. Balaaa😂😂😂Ila kuna kusingizia homa pia 😅😅
Natetemeka kama nimepigwa na baridiii 🤣🤣Kwamba unakua uko hoiiii.. Balaaa😂😂😂
02:2202:07✌
Mda wa kulala sasa .. nakuachia lindo02:22 na Mvua imeanza nipo Lindoni
Poa mkuu ,Lindo linamafuriko hapa ni kukesha tuu😁Mda wa kulala sasa .. nakuachia lindo
Kila la kheri mkuu.. tumekuachia kila kitu kipo, sio asubuhi tuje tukute watu wameibiwaPoa mkuu ,Lindo linamafuriko hapa ni kukesha tuu😁