Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,280
Jnatafakati nini?Nimemaliza msingi 2003
Wewe umezaliwa 2006,Kila nikiona Uzi wako natafakari sana
Jnatafakati nini?Nimemaliza msingi 2003
Wewe umezaliwa 2006,Kila nikiona Uzi wako natafakari sana
Fanya hivyo basi 😌😌Dah 😛😛😛😛😛
Kesho basi bestFanya hivyo basi 😌😌
Nikataka nishangae we umejaajaa km vile mmhHata siyo mimi sasa pole sana. Chezeya mimi weye. Umeweka pambo naona 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Umepaa mida mizuri kabisa, mida ya daku hii 😀😀🤣😁Usingizi umepaa
Unsjiukiza sanaNimemaliza msingi 2003
Wewe umezaliwa 2006,Kila nikiona Uzi wako natafakari sana
Tayukwa naomba nijibie hili swali...Nikataka nishangae we umejaajaa km vile mmh
Nooooo utakua umenikosea niliambiwa nikupe mapema bahati sasa nimekupata hapa ila siwezi sema hapaKesho basi best
Tayukwa atakwambia nikoje mimi.Sio wewe yule ni picha tu ya Google
Hapo Mimi nishamaliza O level kitamba aiseeNimemaliza msingi 2003
Wewe umezaliwa 2006,Kila nikiona Uzi wako natafakari sana
Wee siyo jirani yetu. Kilichokufanya usilale uwahi kuamka ni nini?zwenge ndaba naomba lift kesho jirani
Kumbe uyu dogo wa 2006,alafu kutwa anafukizia mawindo ya Kaka zakeNimemaliza msingi 2003
Wewe umezaliwa 2006,Kila nikiona Uzi wako natafakari sana