Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Kwanini? Wala siyo muoga ni mpole tu.Nimemuona ila muoga uyo
Kwanini? Wala siyo muoga ni mpole tu.Nimemuona ila muoga uyo
silijui linafahamika zaid kwa jina gan?Ni tunda best 🥝
Kwakwel apo niache tuu😂😂Usijetype matusi bure
😁 vyemaKwakwel apo niache tuu😂😂
Mwanaume awi mpole unaniona mimi ivi ndio mwanaumw anatakiwa kuwa 😂😂Kwanini? Wala siyo muoga ni mpole tu.
Ndiyo jina lake hilihili, huwezi likuta uswazi likuzwa. Kisutu na kwenye super markets kubwa. Tunda la kizungu 😉silijui linafahamika zaid kwa jina gan?
Ww kwwahiyo uku kwetu uswaz vipiNdiyo jina lake hilihili, huwezi likuta uswazi likuzwa. Kisutu na kwenye super markets kubwa. Tunda la kizungu 😉
Mpaka umemkimbiza muone.Mwanaume awi mpole unaniona mimi ivi ndio mwanaumw anatakiwa kuwa 😂😂
😁 asante kwa ilimu ngoja nitalitafuta uswazi sihamiNdiyo jina lake hilihili, huwezi likuta uswazi likuzwa. Kisutu na kwenye super markets kubwa. Tunda la kizungu 😉
Uko n maharage ya mbeyaWw kwwahiyo uku kwetu uswaz vipi
Muoga uyo 😂😂Mpaka umemkimbiza muone.
Mimi nayapenda sana haya matunda👌Ndiyo jina lake hilihili, huwezi likuta uswazi likuzwa. Kisutu na kwenye super markets kubwa. Tunda la kizungu 😉
Litafute kama utalipata laitwa KIWI uswazi hulipati labda pale Kino soko la ma TXWw kwwahiyo uku kwetu uswaz vipi
WakishuaMimi nayapenda sana haya matunda👌
Mh sasa huyu bantu anatakiwa atupeleke mjiniUko n maharage ya mbeya
Mimi nilikuwa naliona kwa emoj nikawa najua linawakilisha tangoLitafute kama utalipata laitwa KIWI uswazi hulipati labda pale Kino soko la ma TX
Katika siku umesema point leo kaka na usipuuzweMh sasa huyu bantu anatakiwa atupeleke mjini