Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Vikubwa bas naomba mashine ya kufuliaWewe omba vitu vikubwa, Biriani utakula itameng'enywa iishe. Watoto wa uswazi kwa kula
Vikubwa bas naomba mashine ya kufuliaWewe omba vitu vikubwa, Biriani utakula itameng'enywa iishe. Watoto wa uswazi kwa kula
Hapahapa 😆😆😆😆Mmeweka wapii😁😁😁
Wapi, kwenye profile au hapa barazani??Hapahapa 😆😆😆😆
Acha kelele kuna wachawkUsiku wa manane wa porini ,yooo kunzima nhe!
UnaotaJamani hii si kawaida kuona kimvuli cha mtu hapo chini na mara katoweka heee where is No malice to nobody?
Hapa barazani tutarudia woteWapi, kwenye profile au hapa barazani??
yu jiran yako wa masaki alipokuja buza
Na sijui kasinzia jirani, ghafla bin vuu kapotea.U
yu jiran yako wa masaki alipokuja buza
Naomba Mungu leo nisipatwe na zile ndoto zako zile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora ile ya chaji ya simuUnaota
Si unajua wat wa masaki bhna mna mbwembwe kumbe konyoiiNa sijui kasinzia jirani, ghafla bin vuu kapotea.
Umeeanza siyoNaomba Mungu leo nisipatwe na zile ndoto zako zile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora ile ya chaji ya simuView attachment 2571598
Pambana ila hii picha toa chapNaomba Mungu leo nisipatwe na zile ndoto zako zile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora ile ya chaji ya simuView attachment 2571598
Ushaanza kuogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] dawa yako nishaijua[emoji1787][emoji1787] wewe na nyoka, panya, mende [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana ila hii picha toa chap
Mushii tutolee hii picha pleasNaomba Mungu leo nisipatwe na zile ndoto zako zile[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora ile ya chaji ya simuView attachment 2571598
Ngoja ni lale[emoji1787][emoji1787] wewe humalizagi mjadala mpaka bando ikateUmeeanza siyo