Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,962
- 67,521
Kaka izi mada mbona unatuharibia stareheeLeo ndio nimepata kucheck project ya mh mwakiembe! [emoji2957] Aisee! Ngoja nilale tu niwaachie lindo lenu wakulungwa, ila nime conclude yeyote alie mnanga au mwenye kumkebehi lazima atakua muhanga kwa namna moja au nyingine!