Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,813
02:30
Ewa hapo hapoo ndio nilipiga picha na kajala selfMsasani pale... panaitwa jina longine macho
Sio muhehe we mwehu,utasababisha Kila mbwa wa jirani wakipotea nitafutwe mimiMkuu acha mazoea na wake za watu wewe muhehe
Unataka kusema wewe mkinga sio au mbenaSio muhehe we mwehu,utasababisha Kila mbwa wa jirani wakipotea nitafutwe mimi
Anataka kutuuziaa mbwa anashinda jalalani kuannzia asubuhi mpaka jioni hahaAcha kumuonea wivu jirani yangu wa Masaki, wewe mtoto wa uswazi wa Buza wewe...
Unataka kutuuzia mbwa wa uswazi hatutaki😄😄😄😄😄
Muulize Intel unaninii😂😂?Mbona niliona kimvuli cha Intelligent businessman mara kikapotea?
Halafu leo hana mood ya kuongea na mtu 🏃♀️
😂😂😂😂 ivi ww kuku kushingo unawza nunua mbwa wanguAnataka kutuuziaa mbwa anashinda jalalani kuannzia asubuhi mpaka jioni haha
Hatumtaki sisi watoto wa kishua, tunataka ile mijibwa hata Mr akisafiri nabaki naye bila shida.Anataka kutuuziaa mbwa anashinda jalalani kuannzia asubuhi mpaka jioni haha
Mbwa anakula miwa hata mm sikushauriHatumtaki sisi watoto wa kishua, tunataka ile mijibwa hata Mr akisafiri nabaki naye bila shida.
Hao wake akauze pale Victoria akawadanganye kwenye foleni. Masaki tunanunua kwenye vituo maalumu.
Sijipendi eeh unataka nichambwe mpaka kunakucha akuuu..😂😂😂😂😂Muulize Intel unaninii😂😂?
Af nilikuwa nataka kuhamia palHatumtaki sisi watoto wa kishua, tunataka ile mijibwa hata Mr akisafiri nabaki naye bila shida.
Hao wake akauze pale Victoria akawadanganye kwenye foleni. Masaki tunanunua kwenye vituo maalumu.
Inatisha! Sana sana sana sio kidogo! Alafu kuna dada anafanya presentation, kwa picha za matukio ya upelelezi! Aisee! Haifai hata kidogo! Kwanini magu alinyamaza hata kipindi kile mwanae akawa anapambana ila hakutia neno ukanda huo!!? Akamwachia mwenyewe baada ya muda wakulungwa wakamgeuzia kibao yeye mwenyeweSijaichek bado ila natarajia kuicheki soon

kua hips zina kua tu
!!? Baadae ika vuja ka clips yupo kwny moja ya hotel na mzungu wana move huku wameshikana mikono!! Ikidaiwa ni muwekezaji, wanakaribishana! Ila tuna balaa zito sanaNa wanauzaga mpaka vifisi pale,nyara za serikali hahaha.inatakiwa mbwa simu ikizima charge unampa akaiweke kwenye charge.sio hao wake kokoHatumtaki sisi watoto wa kishua, tunataka ile mijibwa hata Mr akisafiri nabaki naye bila shida.
Hao wake akauze pale Victoria akawadanganye kwenye foleni. Masaki tunanunua kwenye vituo maalumu.
Ngoja niipitie nione yaliyomo haya mambo sio kabisaInatisha! Sana sana sana sio kidogo! Alafu kuna dada anafanya presentation, kwa picha za matukio ya upelelezi! Aisee! Haifai hata kidogo! Kwanini magu alinyamaza hata kipindi kile mwanae akawa anapambana ila hakutia neno ukanda huo!!? Akamwachia mwenyewe baada ya muda wakulungwa wakamgeuzia kibao yeye mwenyewekua hips zina kua tu
!!? Baadae ika vuja ka clips yupo kwny moja ya hotel na mzungu wana move huku wameshikana mikono!! Ikidaiwa ni muwekezaji, wanakaribishana! Ila tuna balaa zito sana
Hata kama wanamnanga kua anatafuta kiki za kisiasa naamini ni hoja dhaifu sana!Sijaichek bado ila natarajia kuicheki soon
Siwezi ,nitampa sumu siku ya pili afe😂😂😂😂 ivi ww kuku kushingo unawza nunua mbwa wangu