Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,394
Hald amwtcanKila mtu aandike ID yake bila ya kuangalia...
Hald amwtcanKila mtu aandike ID yake bila ya kuangalia...
Tena mwambie uko masaki sio kwao kwao yeye ni kwa mtogole kulezwenge ndaba nimeona kimvuli chako bro...
Acha kumuonea wivu jirani yangu wa Masaki, wewe mtoto wa uswazi wa Buza wewe...Tena mwambie uko masaki sio kwao kwao yeye ni kwa mtogole kule
Daha 😂😂Kila mtu aandike ID yake bila ya kuangalia...
Khaaa masaki pia kuna uswahilini wewe 😂😂😂 uy nyumba yake inaingia majiAcha kumuonea wivu jirani yangu wa Masaki, wewe mtoto wa uswazi wa Buza wewe...
Unataka kutuuzia mbwa wa uswazi hatutaki😄😄😄😄😄
Hahaha ulipo nipo.in Dahan voicezwenge ndaba nimeona kimvuli chako bro...
Mkuu acha mazoea na wake za watu wewe muheheHahaha ulipo nipo.in Dahan voice
Itakuwa inapakana na Msasani basi... au ile njia ya daladalaKhaaa masaki pia kuna uswahilini wewe 😂😂😂 uy nyumba yake inaingia maji
Hahaha ma brother men kwa kutafuta sifa,tunashinda masaki tunalala tandikaTena mwambie uko masaki sio kwao kwao yeye ni kwa mtogole kule
Yah yy anakaaa pale ccbrtItakuwa inapakana na Msasani basi... au ile njia ya daladala
Sijaichek bado ila natarajia kuicheki soonLeo ndio nimepata kucheck project ya mh mwakiembe! [emoji2957] Aisee! Ngoja nilale tu niwaachie lindo lenu wakulungwa, ila nime conclude yeyote alie mnanga au mwenye kumkebehi lazima atakua muhanga kwa namna moja au nyingine!
Msasani pale... panaitwa jina lingine machoYah yy anakaaa pale ccbrt
Najua unatak kunasa wake zet umuHahaha ma brother men kwa kutafuta sifa,tunashinda masaki tunalala tandika