0628
ila ipo siku yako tuSi umetaka ligi na wakulungwa tuone sasa 🤣🤣🤣
😅😅😅😅 Mm ndio nimekuwa mvivu sana. Kibarua kitaota nyasi, maana nimekuwa mtoroNinyi mnao tegea lindo mnakuja kuonekena saa kumi nambili tutawatimua mapema sana hatuwezi kuwa na watu wavivi hasa Mzee wa kupambania Analyse na wengine wengii Uchira 1 sijakuona hapa
Na hatuna taarifa zako umekaa kimya😅😅😅😅 Mm ndio nimekuwa mvivu sana. Kibarua kitaota nyasi, maana nimekuwa mtoro
File langu nililifikisha mezani kwa Half american , anajua kila kitu 😅Na hatuna taarifa zako umekaa kimya
😂 bado lipo masijalaFile langu nililifikisha mezani kwa Half american , anajua kila kitu 😅
Huyo mwenyewe ni mtoro sasa sijui ulikuwa unawaza niniFile langu nililifikisha mezani kwa Half american , anajua kila kitu 😅
Na ww kibalua kitakushinda soon😂 bado lipo masijala
KwaninNa ww kibalua kitakushinda soon
Kwanin
Mbona nipo sana huwa nakaa kwenye kona pale nawazoomPia nimtoro sugu
Tuna taka uwe unatia sahihi kwa kidoleMbona nipo sana huwa nakaa kwenye kona pale nawazoom
Sawa mkuuTuna taka uwe unatia sahihi kwa kidole
😅😅😅 Dah kumbe taarifa zangu nilizipitisha sehem isiyo sahihiHuyo mwenyewe ni mtoro sasa sijui ulikuwa unawaza nini
Kumbe na ww wale wale tu 😅😅😅😂 bado lipo masijala
Tena sana umeingia chaka leo unapewa onyo😅😅😅 Dah kumbe taarifa zangu nilizipitisha sehem isiyo sahihi
😂😂 vip kule imeendelea 4th section?Kumbe na ww wale wale tu 😅😅😅
Don't worry stow away I had to take a break, but I will be back soonSijaahidi vocha mkuu Leo umekunywa nini kwani? Nakwambia Intelligent businessman anajiita yeye ni mwizi wa kimataifa n he has no Malice to nobody nikamuuliza ilikuaje ikawa hivyo akajibu kua yeye alienda kuiba Ila Cha kushangaza alipoenda kuiba yeye ndio walimuibia na wakampa pole juu, no Malice to nobody ikaanzia hapo yaan unaenda kupiga tukio unageuzwa kibao unapigwa tukio wewe
I mean no malice to nobody, I will be back boss wangu.Intelligent businessman popote ulipo, umemisika. I hope all is well...
No malice to nobody....