Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Nmeota km dk 15 hivi tupo kwenye bonge la bus sasa wakati linatoka kituoni linaingia barabarani si likapoteza uelekeo linaingia lafu road kuangalia kumbe break zimekufa mara tupo kwenye mtelemko unaambiwa gari ikapaa nilivyoona hivyo nikaona isiwe tabu kulikua mti pembeni nikajitosa kwenye mti afu sikutaka kuendelea nikashtukaNimeota wachawi wanapita juu uku wanasema wewe kijana tutakumakiza tu ata ujifanye mjanja uku wananikimbia af natak kuamka siwez mgongoni nshish nimekaliwa dah


