JamiiForums Usiku wa manane
Namtaka mmoja simuhitaji mwingine

Msiniwaze

Aaaah

Aaah nalia nalia naliaga

Akininunia napagawaga

Nalia nalia naliaga

Akinisisua nachachawaga

Hivi huku ndo wanaitaga kupendaga

Siwezi kula bila huyu kijana

Hivi haya haya ndo mapenzi

Siwezi kulala bila haka kadada

Nampenda nampenda msichana mmoja

-@Dahan Dahan
usijidanganye unapedwa ,hapedwi mtu duniani,wachawi bado wanaloga na wanamtambua Mungu ni nani.lord eyes
 
Unajionaje wewe? Na unanionaje wewe?
Mimi ndiyo tajiri wa mahaba, karibu nikutunze..
Nimefunga safari ya Tanga mpaka Mombasa... Nimefika Tawakar nakutazama nakukosa, wala sioni dalili.... simuni nakukosa....

Naambiwa hii namba unayopiga, mwenyewe kaja poswa...
Na wala mi sijali, na vyako visa visa aliyekufunda ujeuri, mwambie kwangu umefika...

Kwani binti unatakaje? Au nawewe nikuimbie kama waliokosa fadhila baadaye unikimbie? Sema binti unatakaje?Au kwingine nisivutie?
Unimiliki peke yako, niweke basi nitulie...
 
Unajionaje wewe? Na unanionaje wewe?
Mimi ndiyo tajiri wa mahaba, karibu nikutunze..
Nimefunga safari ya Tanga mpaka Mombasa... Nimefika Tawakar nakutazama nakukosa, wala sioni dalili.... simuni nakukosa....

Naambiwa hii namba unayopiga, mwenyewe kaja poswa...
Na wala sijali, na vyako visa visa aliyekufunda ujeuri, mwambie kwangu umefika...

Kwani binti unatakaje? Au nawewe nikuimbie kama waliokosa fadhila baadaye unikimbie? Sema binti unatakaje?Au kwingine nisivutie?
Unimiliki peke yako, niweke basi nitulie...
Sijui ume copy wapi ila life is beauty
 
Back
Top Bottom