JamiiForums Usiku wa manane
stow away umechoka mapema sana embu ludi af bado tunasubilia vocha zetu ulizo tuhaid
Sijaahidi vocha mkuu Leo umekunywa nini kwani? Nakwambia Intelligent businessman anajiita yeye ni mwizi wa kimataifa n he has no Malice to nobody nikamuuliza ilikuaje ikawa hivyo akajibu kua yeye alienda kuiba Ila Cha kushangaza alipoenda kuiba yeye ndio walimuibia na wakampa pole juu, no Malice to nobody ikaanzia hapo yaan unaenda kupiga tukio unageuzwa kibao unapigwa tukio wewe
 
Duh mzee kumbe bas tumuache
 
Back
Top Bottom