Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Bia ya nini wewe upo lindo acha basi utaharibu kaziBado nime kosa vibe sina bia
02:33
Bia ya nini wewe upo lindo acha basi utaharibu kaziBado nime kosa vibe sina bia
Haujasema ukinywa nini au ukinywa mkojo wa Punda?Nikinywa huwa natukana hadi viongozi wa kiroho
😂😂😂😂👍 Kwanini yabadilike...Kaeni kwa tahadhar Poor Brain kashafika sasaivi mambo yatabadilika
Mdos ninunulie boss bia tatuu tena serenget lite basBia ya nini wewe upo lindo acha basi utaharibu kazi
02:33
Hahah fresh mzeeUsijalinndugu yangu siwez kukusahau wakunyumba
Akili umemuachia Intelligent businessman😂😂😂😂👍 Kwanini yabadilike...
Napokea lindo
Usiku wa manane02;34
Giza totoro
Eee leo usikale sasa mpaka kieleweke hapaHahah fresh mzee
Yupo wapi leo au kachokaAkili umemuachia Intelligent businessman
Umetoka kunywa ulanzi ,unywe Tena lite,utachafua tumbo tu na hizo taka taka Serengeti liteMdos ninunulie boss bia tatuu tena serenget lite bas
Ushaniuzia kesi tayari wakwetuImekula kwako my kaka aka Big Boss Mjep kishanitumia pm sahau Johnnie Walker na ukalale huko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kachoka sijui wachawi wamemchukua leo akawalindeYupo wapi leo au kachoka
Wachawi hao..😂😂😂Kachoka sijui wachawi wamemchukua leo akawalinde
Na sisi atutaki kuelewa boss nikufute viatu vina vumbi au nikuoe vile foengo zako au nikuletwe sandelUshaniuzia kesi tayari wakwetu
Nitaambia nini watu
AfadhaliDah usije ukalia kaka yangu mmemfilisi kibanda cha vocha waone kwanza. Sijatumiwa wala nini, nilitaka kukurusha roho, na ukarushika... mwepesi sana wewe. Nitakutumia mimi sawa usilie mtoto mbaya eeh
Sijanywa kitu iyo ulanzi nilitumwa tuUmetoka kunywa ulanzi ,unywe Tena lite,utachafua tumbo tu na hizo taka taka Serengeti lite