Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,490
- 96,955
Niko Safi kabisa, kheri iko pamoja namo. Though I am single ila at least naenda kula ubwabwa 🤣😂Good morning Intelligent businessman ... niko poa kabisa. Wewe je?
Niko Safi kabisa, kheri iko pamoja namo. Though I am single ila at least naenda kula ubwabwa 🤣😂Good morning Intelligent businessman ... niko poa kabisa. Wewe je?
Good, kwa kweli tena ubwabwa kama wapenda wa nazi acha kabisa. Mbona utajiona umeoa kabisa 😂😂😂😂Niko Safi kabisa, kheri iko pamoja namo. Though I am single ila at least naenda kula ubwabwa 🤣😂
Dahan ange kukasirikia, maana anasemaga naendekeza misosi tu. Sema dah wali wa Nazi, maharage ya karanga ni 🔥🔥Good, kwa kweli tena ubwabwa kama wapenda wa nazi acha kabisa. Mbona utajiona umeoa kabisa 😂😂😂😂
Nahisi umeshafutwa eeh?Wakuu bora hata ningelala na kuamka huku. Nmepepesa pepesa macho nmedondokea uzi kituko. Uzi wa wale wanaumee wanataka haki yaooo.
Bantu Lady nae nimemwona kule nahisi saiv anaumwa baada ya kuona namna wanaume wanataka wafanyiwee.
Bora nibaki njia kuuu. Jf usiku wa manane
Wamelala nao mbeleee afadhali yani umenichafuu sana.Nahisi umeshafutwa eeh?
Bora wameufuta, pia ingewekwa sasa angalizo hizo nyuzi zinatosha. Hasa huyu mwehu wa kutetea haki zao. Kama vile imeshahalalishwa si sawa.Wamelala nao mbeleee afadhali yani umenichafuu sana.
Yan mtu unaweza sikia tuu ila saiv hiv vitu naona vnakuja kasi sanaa. Hiv watoto wetu watakuwa na hali gan kama kina baba ndo tunakuwa hiviiii?
Mungu atuepushe na haya
Daima mbele nyuma mwiko 🙂Ni saa ngapi huko?
Nnaona ushapata kitiki cha blueYou are so Yesterday...
No malice to nobody....
Muda mrefu sana nahisi ni kati ya mwanamke wa kwanza ama wa mwanzoni kabisa kama kuna aliyetangulia....Nnaona ushapata kitiki cha blue
Kumbe au mimi nilikuwa sikioni sio?Muda mrefu sana nahisi ni kati ya mwanamke wa kwanza ama wa mwanzoni kabisa kama kuna aliyetangulia....
WhyLove Doesn't Ask why....
Muda mrefu sana nahisi ni kati ya mwanamke wa kwanza ama wa mwanzoni kabisa kama kuna aliyetangulia....
Bado tu kuitwa doctor bantu Lady, imekua fashion umu.hahaMuda mrefu sana nahisi ni kati ya mwanamke wa kwanza ama wa mwanzoni kabisa kama kuna aliyetangulia....
Love don't cost a thingLove Doesn't Ask why....