Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
Pasuka ww utakufa uku ujaonja joto la pango la amboni oh nipo pale kwenye mwembe nakuangaliaMnanijazaa nikapasukee ehh, I mean no malice to nobody
Pasuka ww utakufa uku ujaonja joto la pango la amboni oh nipo pale kwenye mwembe nakuangaliaMnanijazaa nikapasukee ehh, I mean no malice to nobody
Mmmh hayo miye sina uzoefu nayo. Na sikujua binadamu anauzwa kama kambale sokoni...Elfu 70 mh, Dahan, Bantu Lady, National Anthem, Poor Brain na Mzee wa kupambania, hii bei ni sawa au naibiwaa😎🙉. I mean no malice to nobody
😅😅😅 hii inanikumbusha miaka flani, ilikuwa tunavimbiana mwenye mbavu anaondoka na mrembo.. watu dau lilikuwa linafika million.. zamani ilikuwa changamoto sanaWewe sasa ndio mwamba mtu bad
Sio kuuza value tu ya mtu.. ndio maana Messi ana bei kubwa kuliko Ironga 😅😅😅Mmmh hayo miye sina uzoefu nayo. Na sikujua binadamu anauzwa kama kambale sokoni...
Wanaume wazuri wanajishtukia mkuu haitakuwa vizuri kuendelea kumuita hivyo.Pia na yeye mwenyewe ameshakuonyesha namna anavyochukizwa na hilo jina.Wanaume mnijibu hili, my man ni mzuro sasa huwa najisahau namwambia hivyo. Anakasirika kuwa hapendi hii kauli!!!
Je ni vibaya kumwambia mwanaume mzuri, mzuri? Kiukweli nakosa pia amani 😥😥😥😥
Najisahau tu nakuwa narudia. Au niseme tu handsome?
Mhh 1m??, Mlikuwa mnapasuka vibaya😅😅😅 hii inanikumbusha miaka flani, ilikuwa tunavimbiana mwenye mbavu anaondoka na mrembo.. watu dau lilikuwa linafika million.. zamani ilikuwa changamoto sana
Mwanaume, Mvulana, Kijana, alafu tupo wahuni .. Mwanaume anasifiwa Uanaume wake.. Nipo leo nipo na Legue na Babu ana miaka 70 na mie tuna liana timing 🤣🤣🤣 akienda hata chooni ameishaWanaume mnijibu hili, my man ni mzuro sasa huwa najisahau namwambia hivyo. Anakasirika kuwa hapendi hii kauli!!!
Je ni vibaya kumwambia mwanaume mzuri, mzuri? Kiukweli nakosa pia amani 😥😥😥😥
Najisahau tu nakuwa narudia. Au niseme tu handsome?
Asante sana, sasa nimeelewa vizuri. Naacha kumuita mzuri. Kumbe wanaume wenye sura za ujambazi ndiyo wanapenda kuitwa wazuri? 😂😂😂😂😂😂Wanaume wazuri wanajishtukia mkuu haitakuwa vizuri kuendelea kumuita hivyo.Pia na yeye mwenyewe ameshakuonyesha namna anavyochukizwa na hilo jina.
Majina kama hayo yanatufaa sisi ambao tupo na sura pasano
Uhuni mmbaya sana mzee.. ila asahivi tushachoka kama Simba Bob Junior 🤣🤣🤣 wakija vijana tunapishaMhh 1m??, Mlikuwa mnapasuka vibaya
Au ile dem amepita majamaa mmemkubali wote mnatuma chambo atakeye mpata anatoa pesa😅😅😅 hii inanikumbusha miaka flani, ilikuwa tunavimbiana mwenye mbavu anaondoka na mrembo.. watu dau lilikuwa linafika million.. zamani ilikuwa changamoto sana
Muonee huruma babu wa watu, usimuibie manzi ake dah. Nimeona huruma itakuwa anamgharalia, pesa zote za mafao mmmh!!!Mwanaume, Mvulana, Kijana, alafu tupo wahuni .. Mwanaume anasifiwa Uanaume wake.. Nipo leo nipo na Legue na Babu ana miaka 70 na mie tuna liana timing 🤣🤣🤣 akienda hata chooni ameisha
Hahahaha sio kambale ni tundaMmmh hayo miye sina uzoefu nayo. Na sikujua binadamu anauzwa kama kambale sokoni...
Hapa nilipo tuna liana timing na zee moja, limeisha mlewesha mtoto lina mwaga hela.. ila mie katoto nimekalewa vibaya nako kanitazama.. mzee ni rafiki yangu sana ila nae kaisha elewa nataka mpindua 🤣🤣🤣🤣 huwa ina raha sana movement kama hiziAu ile dem amepita majamaa mmemkubali wote mnatuma chambo atakeye mpata anatoa pesa
Hii inaitwa survive for fitest 🤣🤣 katamba hapa kwa kumwaga pesa.. ila napiga tu mahesabu yangu.. one mistake one goal huwa raha sana moment kama hizi.. ni kama simba anaetafuta ufalme 😅😅😅Muonee huruma babu wa watu, usimuibie manzi ake dah. Nimeona huruma itakuwa anamgharalia, pesa zote za mafao mmmh!!!
Af ssa ukishampindua mzee atakuja kukutambia end of the day mtakutana mkijadili raha sana kila mtu anasema upande wakeHapa nilipo tuna liana timing na zee moja, asa limeisha mlewesha mtoto lina mwaga hela.. ila mie katoto nimekalewa vibaya anako kanitazama.. mzee ni rafiki yangu sana ila nae kaisha elewa nataka mpinduand 🤣🤣🤣🤣 huwa ina raha sana movement kama hizi
Hizi moment nadra sana kuzipata 😅😅😅 ndio maana ma simba dume yanafukuzaga madume matoto yanapokuwaAf ssa ukishampindua mzee atakuja kukutambia end of the day mtakutana mkijadili raha sana kila mtu anasema upande wake
Sana unanikumbusha ex wanguHizi moment nadra sana kuzipata 😅😅😅 ndio maana ma simba dume yanafukuzaga madume matoto yanapokuwa
Ukiitwa hivyo kiasi Fulani inapunguza kujifeel inferior afu nzuri zaidi uwe na vichenchi vya kula na kunywa Kwa watoto wazuri kama weweAsante sana, sasa nimeelewa vizuri. Naacha kumuita mzuri. Kumbe wanaume wenye sura za ujambazi ndiyo wanapenda kuitwa wazuri? 😂😂😂😂😂😂
Wajuba walipita naeee, I mean no malice to nobody 😂🤣😎Sana unanikumbusha ex wangu
Mzee najua ataenda nae kulala ila na mie nitapiga kimoko hata cha choo cha kike 🤣🤣🤣🤣 hapa namuaga ajue nime sepa kumbe naenda kaa angle ya kuangalia choo cha kikeSana unanikumbusha ex wangu