JamiiForums Usiku wa manane
Wanaume mnijibu hili, my man ni mzuro sasa huwa najisahau namwambia hivyo. Anakasirika kuwa hapendi hii kauli!!!

Je ni vibaya kumwambia mwanaume mzuri, mzuri? Kiukweli nakosa pia amani
Najisahau tu nakuwa narudia. Au niseme tu handsome?

unakosea

Kwaza unakipenda nini hasa kutoka kwake?

Mfano tabasamu lake? Akiongea? Macho yake?
 
Wanaume mnijibu hili, my man ni mzuro sasa huwa najisahau namwambia hivyo. Anakasirika kuwa hapendi hii kauli!!!

Je ni vibaya kumwambia mwanaume mzuri, mzuri? Kiukweli nakosa pia amani 😥😥😥😥

Ningekuwa Mimi ningekujibu- I mean no malice to nobody
 
Wanaume mnijibu hili, my man ni mzuro sasa huwa najisahau namwambia hivyo. Anakasirika kuwa hapendi hii kauli!!!

Je ni vibaya kumwambia mwanaume mzuri, mzuri? Kiukweli nakosa pia amani 😥😥😥😥
Najisahau tu nakuwa narudia. Au niseme tu handsome?
Mimi huwa sipendi kuitwa mzuri nilimfokea mwazoni akaelewa so now she call me my handsom ata akitaka kuniambia kitu anakuja kimahaba sana Dahan anajua vizur my weekness so she take advantege

Nakushauri usitumie neno mzuri sema handsom au mwambie wewe mtu mbad
 
Jua
unakosea

Kwaza unakipenda nini hasa kutoka kwake?

Mfano tabasamu lake? Akiongea? Macho yake?
Ni mkaka mzuri sana. Yaani ni Handsome haswaa.. sema najisahau namwambia mzuri na anachukia kabisa hii kauli.

Hujanijibu je neno mzuri kwa mwanaume ni tusi?
 
Back
Top Bottom