JamiiForums Usiku wa manane
Jua

Ni mkaka mzuri sana. Yaani ni Handsome haswaa.. sema najisahau namwambia mzuri na anachukia kabisa hii kauli.

Hujanijibu je neno mzuri kwa mwanaume ni tusi?
Ukimwambia mzuri anajihisi umemuona kama mwanamke.. Lazma akasirike😂😂mwambie mbaya tuu ili afurahi😂😂😂
 
Back
Top Bottom