Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Ex wangu alinicheat mshikaji nikajua tukajuana masela tukaaza kutambiana mzee end of the day mshikaji kaachia ngazi nikapanda nikawa nikitoka kwenye gemu namtumia picha jmaa alinichukia mpaka kaniblock 😂😂😂Hizi moment nadra sana kuzipata 😅😅😅 ndio maana ma simba dume yanafukuzaga madume matoto yanapokuwa