Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,369
- 96,653
😂🤣🤣, Aisee nitafurahiiiii na kuchekaOk ngoja nitakutumia picha uchague sawa
Ovyoo
😂🤣🤣, Aisee nitafurahiiiii na kuchekaOk ngoja nitakutumia picha uchague sawa
, Aisee nitafurahiiiii na kucheka
Ovyoo



So ntajionea mizigoo ya kwendaaaKwahiyo unataka kuwa joke eee utacheka ovyo kisa nini?![]()
Utapotea shauri yako... wafate hao. Bora ujikalie zako hapa usiku. No malice to anyone 😂😂😂😂😂😂🙈Hebu nope connection siku nikiokota dhahabu nitakuja hukoo🤣😂🙉 Dahan National Anthem Bantu Lady ngoja nami nikajitafutee
Ila kweli, I mean no malice to nobody. Sasa ntakaa ndani Kama mwali siku zote ??Utapotea shauri yako... wafate hao. Bora ujikalie zako hapa usiku. No malice to anyone 😂😂😂😂😂😂🙈
Ila kweli, I mean no malice to nobody. Sasa ntakaa ndani Kama mwali sikuzoteUtapotea shauri yako... wafate hao. Bora ujikalie zako hapa usiku. No malice to anyone 😂😂😂😂😂😂🙈
Embu mwache aje kwenye chama wewe mbona unataka kijana awe zoba utaki siku mmoja akualike kwenye ndoaUtapotea shauri yako... wafate hao. Bora ujikalie zako hapa usiku. No malice to anyone 😂😂😂😂😂😂🙈
Usimsikilize huyo mwezio huyo anatafutwa wewe unatafuta ohIla kweli, I mean no malice to nobody. Sasa ntakaa ndani Kama mwali sikuzote
Huyo nimeshamwambia siku akianza, mimi ndiyo namzindua namfungia ndani wiki nzima. Akija hapa atawapeni story vizuri...Embu mwache aje kwenye chama wewe mbona unataka kijana awe zoba utaki siku mmoja akualike kwenye ndoa
Dahan na Bantu Lady oneni huyu dogo anavyo nijazaUsimsikilize huyo mwezio huyo anatafutwa wewe unatafuta oh
Sasa ww unataka aweweseke usiku ajazoea vya kuchinja vya baharini atawrza? 😂😂😂😂Huyo nimeshamwambia siku akianza, mimi ndiyo namzindua namfungia ndani wiki nzima. Akija hapa atawapeni story vizuri...
Ww acha kubweteka inuka uangazeDahan na Bantu Lady oneni huyu dogo anavyo nijaza
Nitafurahiiiii, aiii hapana nisije kufa kwa preshaaHuyo nimeshamwambia siku akianza, mimi ndiyo namzindua namfungia ndani wiki nzima. Akija hapa atawapeni story vizuri...
Ahahhahahha uyo atakua mzee achana nae kwaza kashajizeekea mdaNitafurahiiiii, aiii hapana nisije kufa kwa preshaa
Old are delicious Bantu Lady dogo hajui nini 😂🤣. Kuwa nyi ni ma expertAhahhahahha uyo atakua mzee achana nae kwaza kashajizeekea mda
Nasikitika sana nazeeshwa kabla ya umri wa kuzeeka... namwachia shetani adeal nawewe...Ahahhahahha uyo atakua mzee achana nae kwaza kashajizeekea mda
When? Where?whichi? 😂😂😂Old are delicious Bantu Lady dogo hajui nini 😂🤣. Kuwa nyi ni ma expert
Ahahhahah kilometer zinasoma ngapi?Nasikitika sana nazeeshwa kabla ya umri wa kuzeeka... namwachia shetani adeal nawewe...
Hizo kilometa wewe mimi mbichi kabisa, siendekezi hizo mambo. Siwezagi kabisa hayo yana wenyewe. Mimi ni zero huko..Ahahhahah kilometer zinasoma ngapi?
Hizo kilometa wewe mimi mbichi kabisa, ziendekezi hizo mambo. Siwezagi kabisa hayo yana wenyewe. Mimi ni zero huko..




vya kale ni dhahabu kabisa