Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Ila hizo ni story tu na dini yenyewe hairuhusu,watu tu kupenda ngono.Nilijua ila Mkuu hapo kasema ni ya wote. Mimi nilijua ya wenye dini yao, sababu wanaanza mfungo.
Ila hizo ni story tu na dini yenyewe hairuhusu,watu tu kupenda ngono.Nilijua ila Mkuu hapo kasema ni ya wote. Mimi nilijua ya wenye dini yao, sababu wanaanza mfungo.
Mmmh hili sijajua, kwani wao wana limit? Sisi Wakristo tunafanya kwa kiasi. Kama ulikuwa unakula sahani mzima basi, utakula nusu sahani. Labda na tendo la ndoa, kama ulikuwa unapiga 4, unapunguza 2 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Hivi mtu akiwa amefunga kwaresma kuna limit yoyote kwenye kubanjuana kama waislamu?
Na kwako pia mkuuNiwatakie usiku mwema, wapendwa katika imani
Utii wa kiroho na mwili uwe Safi
Tuyape kisogo hayoNilijua ila Mkuu hapo kasema ni ya wote. Mimi nilijua ya wenye dini yao, sababu wanaanza mfungo.
Tuyape kisogo hayo. "nikinywa kidogo aibu inatoka"kauli hii imesisimua misuli ya mboni ya majicho yanguNilijua ila Mkuu hapo kasema ni ya wote. Mimi nilijua ya wenye dini yao, sababu wanaanza mfungo.
Waislamu kama hujaoa huruhusiwi kubanjuana siku zote sio ramadhani tu,. Ni zinaa..sasa watu wanafanya siku zote wanaacha kipindi cha mfungo tu coz wameambiwa ni mwezi mtukufu,hapo ndo ninaposhangaaMmmh hili sijajua, kwani wao wana limit? Sisi Wakristo tunafanya kwa kiasi. Kama ulikuwa unakula sahani mzima basi, utakula nusu sahani. Labda na tendo la ndoa, kama ulikuwa unapiga 4, unapunguza 2![]()

Kupunguza mpka kubanjuana?Mmmh hili sijajua, kwani wao wana limit? Sisi Wakristo tunafanya kwa kiasi. Kama ulikuwa unakula sahani mzima basi, utakula nusu sahani. Labda na tendo la ndoa, kama ulikuwa unapiga 4, unapunguza 2![]()


Samahani ndugu, ila tambua mwezi mtukufu ni kipindi ambacho watu hutubu na kujisafisha.Waislamu kama hujaoa huruhusiwi kubanjuana siku zote sio ramadhani tu,. Ni zinaa..sasa watu wanafanya siku zote wanaacha kipindi cha mfungo tu coz wameambiwa ni mwezi mtukufu,hapo ndo ninaposhangaa![]()
Unabisha auBia tamu aliimba nani
Nyingi tu, unajua ukinywa style ya kucheza nayo inakuja. Last time baada ya kumaloza live band. DJ akaweka rap old school, niliicheza![]()
Kutubu na kujisafisha yapaswa iwe kila siku,sio mwezi mtukufu tu.Samahani ndugu, ila tambua mwezi mtukufu ni kipindi ambacho watu hutubu na kujisafisha.
Iwe kiroho au kimwili
Mwezi huu una upekee Sana.
Bia tamu aliimba nani
Utu uzima ni package ya ajabu sana,unatamani kulala usingizi hautaki dah!



Acha tu mkuu,unakufa huku unajionaKwahiyo ushafikia stage ya kufa pole pole au![]()


Acha tu mkuu,unakufa huku unajiona![]()
Aaaah,acha mambo yako mbona tunaombeana mambo mazito mkuuSasa itakuwaje tunazika hapa hapa au tunasafilisha?
