Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,268
Umejuaje?
Wanaonekana tu
Umejuaje?
Mimi ningeshaoza nalala hakuna tena. Usingizi ndiyo starehe yangu kubwa. Sema nanenepa. Bila hivyo ningekuwa nalala kila muda naokuwa feee.Tatizo ukilala sana mwili unakuwa unaoza
Salamaleko mnaoanza kufunga. Tutajitahidi kuwasindikiza...
Tukiwa tunaila Easter nyinyi mmefunga...
Hatualiki mtu.
Humu ndani kwema?
Ukinenepa unakuwa kivutio kwa wawekezaji; ila kujua mwili unaoza, uamkapo asubuhi jaribu kusikilizia harufu ya mdomo.Mimi ningeshaoza nalala hakuna tena. Usingizi ndiyo starehe yangu kubwa. Sema nanenepa. Bila hivyo ningekuwa nalala kila muda naokuwa feee.
Unafikiri hata ni mnywaji kihivyo? Wine tu. Viwanja napenda live band. Huu ni ugonjwa wangu, niambie wapi kuna live band naibuka.Bantu uache pombe na viwanja
Wanasimamia maadili, ila kiutendaji wako vizuriWanaonekana tu
Kumbe wewe hupigi mswaki eeh? Muda wa kwenda kulala hakikisha unaswaki vizuri, mabaki yote ya chakula unatoa na ulimi pia unausugua kwa mswaki.Ukinenepa unakuwa kivutio kwa wawekezaji; ila kujua mwili unaoza, uamkapo asubuhi jaribu kusikilizia harufu ya mdomo.
Kinachosababisha harufu si mabaki ya chakula mdomoni, bali utumbo unaotoka mdomoni kwenda sehemu ya kuhifadhia chakula,pamoja na minyeng'enyo ya chakula inayofanyika mwilini.Kumbe wewe hupigi mswaki eeh? Muda wa kwenda kulala hakikisha unaswaki vizuri, mabaki yote ya chakula unatoa na ulimi pia unausugua kwa mswaki.
Anza hiyo ndani ya wiki, asubuhi unaamka fresh. Yaani mimi naamka asubuhi vizuri na romance twapigana, hata kabla ya kuswaki...
Bantu ladyUkiona umeachwa leo, jua wewe pia dhambi. Maana wanaacha dhambi zote leo...
Niambie YoungbloodBantu lady
Unafikiri hata ni mnywaji kihivyo? Wine tu. Viwanja naoenda live band. Huu ni ugonjwa wangu, niambie wapi kuna live band naibuka.
Wewe huvunji chungu?Niambie Youngblood
Wanasimamia maadili, ila kiutendaji wako vizuri
Nacheza wimbo naopenda, pia nikinywa kidogo aibu ikitoka utapenda. Nacheza haswa...Duh unachezaga sasa au ndio kushangaa
Live band mimi ugonjwa wangu yaniUnafikiri hata ni mnywaji kihivyo? Wine tu. Viwanja naoenda live band. Huu ni ugonjwa wangu, niambie wapi kuna live band naibuka.