JamiiForums Usiku wa manane
Ninakushuru MOLA wangu, sababu ya mengi, hata uhai huu sikustahili
👉Ninakushuru MOLA wangu, sababu ya vingi- hata nikiwa nasali unajua namaanisha.
👉Ulikonitoa ni Siri ya moyo wangu, matopeni matopeni. Ukanikalisha na wakuu juu🙏🙏
👉Aibu umefuta, fedheha umefuta
Umenioa amanj ya kweli
👉Kuna kipindi nilikufa, ikiwa siku za usoni. Walisema tutazika lini ila ulipigania daima🙏🙏
👉 Asante MOLA wangu 🙏🙏
 
Back
Top Bottom