JamiiForums Usiku wa manane
Nikitoka hapo, nakufinyanga Kama tonge la ugali, kiSha nalitupa liliwe na paka.
👉Huyo paka akilila afe, akifa mzoga wake uliwe na kunguru.
👉Kunguru apigwe na shoti apotee Kama Moshi🤣😁 Bantu Lady
I mean no malice to nobody
Wewe hata hunipi shida. Na hivi uko single. Nakufungia ndani siku moja tu. Yaani adhabu yako nakupa penzi ambalo hujawahi pewa, ukaweweseke nalo huko mbele
 
Back
Top Bottom