JamiiForums Usiku wa manane
Maombi yenu ......bibi yangu aliyenilea ambaye kwangu ni mama yangu anaumwa sana..... Nampenda sana mwenzenu.....mama alipokuwa anapitia magumu bibi yangu hakutuacha.Maombi yenu please 🥺...... National Anthem usinisahaulie wimbo wa dini Leo....nipo sad kidogo my bro
Mpe pole sana Bibi yetu. Tunamuombea asijali. Augue pole 🙏🙏🙏.
 
Ndio , ukipata morning glory hata utapofika kazini wenzako watajua tu namna una furaha, amani na kupenda wenzako, cheko na tabasamu lisiloisha.

Mida mizuri ni saa 11 na nusu mpaka 12 asubuhi, na walau raundi moja ila romance iwe ya dakika 15 mpaka mtoke jasho jembamba , mnaoga pamoja yaani hiyo bond mtayojenga hatokaa mtu achepuke ;
Kuna vile unasubiri wife kajiandaa vizuri kaishamaliza kujiandaa kwenda kazini, ile anakuaga hna muita.. unakiwasha huwa kina noga sana na utani kibao 😅😅
 
Maombi yenu ......bibi yangu aliyenilea ambaye kwangu ni mama yangu anaumwa sana..... Nampenda sana mwenzenu.....mama alipokuwa anapitia magumu bibi yangu hakutuacha.Maombi yenu please 🥺...... National Anthem usinisahaulie wimbo wa dini Leo....nipo sad kidogo my bro
My sister To yeye muamini Mungu katika upendo wake na faraja yake.

Back
Top Bottom