National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Wanalinda ndoa 😅😅Madam o Bantu Lady na mcharuko Dahan mmejificha wapii😎😎
Wanalinda ndoa 😅😅Madam o Bantu Lady na mcharuko Dahan mmejificha wapii😎😎
Baadae,ndo naenda kazin
Oii nipo mkuu. Nipo mkuu. Nilisinzia kidogo 😅😅😅
Nipo mkuu. Nawazoom tu kutokea angle hii 😅😅2:35 wapi wezi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain na chambo was kijijii Analyse
Nilikua nakuamsha uamke wengine hapa ndo tumetoka night😍Baadae,ndo naenda kazin
Ulisinzia au lilala mzee 😅😅Oii nipo mkuu. Nipo mkuu. Nilisinzia kidogo 😅😅😅
Sawa mkuu... Asante sanaNilikua nakuamsha uamke wengine hapa ndo tumetoka night😍
Nilisinzia lindo 😅😅Ulisinzia au lilala mzee 😅😅
Yaani unaiba bila ya kuwa na wasiwasi, naona mpiga chaboo Poor Brain anafaidi kuangalia mizigo ya watu😅😅😅 kuna mvua sana huku, wizi unakuwa mwepesi sana
Kwenye mvua watu wanalala vibudu 😅😅Yaani unaiba bila ya kuwa na wasiwasi, naona mpiga chaboo Poor Brain anafaidi kuangalia mizigo ya watu