KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,490
Kimasihara lete kule usisahauWakuu mida hii npo Mingo Kuna pisi nailia timing
Kimasihara lete kule usisahauWakuu mida hii npo Mingo Kuna pisi nailia timing
Hiyo sio kimasihara ni mazingira hatarishiKimasihara lete kule usisahau
Acha wehu, Sasa hivi saa 2:38Leo wengi wamekimbia lindo acha na mimi nivute shuka muda huu
03:35
City kamchinja mtu kikatiliManchester city and inter Milan qualify to the quarter finals of uefa champions league
Naomba arsenal abebe league, city uefa💪City kamchinja mtu kikatili
Ngoja tuone mkuuNaomba arsenal abebe league, city uefa![]()
😅😅😅 kuna mvua sana huku, wizi unakuwa mwepesi sana2:35 wapi wezi wa kimataifa, mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain na chambo was kijijii Analyse