JamiiForums Usiku wa manane
Maombi yenu ......bibi yangu aliyenilea ambaye kwangu ni mama yangu anaumwa sana..... Nampenda sana mwenzenu.....mama alipokuwa anapitia magumu bibi yangu hakutuacha.Maombi yenu please 🥺...... National Anthem usinisahaulie wimbo wa dini Leo....nipo sad kidogo my bro
05:53

😭 Sitaki kusema mimi Ila tunamuombea kwa sauti zote
 
05:10.. tunaanza sasa morning glory
Ndio , ukipata morning glory hata utapofika kazini wenzako watajua tu namna una furaha, amani na kupenda wenzako, cheko na tabasamu lisiloisha.

Mida mizuri ni saa 11 na nusu mpaka 12 asubuhi, na walau raundi moja ila romance iwe ya dakika 15 mpaka mtoke jasho jembamba , mnaoga pamoja yaani hiyo bond mtayojenga hatokaa mtu achepuke ;
 
Maombi yenu ......bibi yangu aliyenilea ambaye kwangu ni mama yangu anaumwa sana..... Nampenda sana mwenzenu.....mama alipokuwa anapitia magumu bibi yangu hakutuacha.Maombi yenu please 🥺...... National Anthem usinisahaulie wimbo wa dini Leo....nipo sad kidogo my bro
Atakua sawa bibi yetu
 
Back
Top Bottom