JamiiForums Usiku wa manane
Wewe National Anthem naona shetani, anataka kuwa malaikaaa
Banaa wee, nimetongoza demu wa mjeda, alafu nikasahau code flani, nikamtumia message demu wake aje tulale, nikaona kimya nikapiga simu kapokea mwamba mwenyewe, usingizi umeisha nasubiri kesho pakuche nikazichape na mwana.. atae shinda ndio anachukua chombo 😅😅😅
 
😘😘😘😘

Tonight, I'm gonna make it up to you
Tonight, I'm gonna make love to you
Tonight, you're gonna know how much I missed you, baby
Tonight, I dedicate my heart to you
Tonight, I'm gonna be a part of you
Tonight, you're gonna know how much I miss you
And I miss you so
 
Banaa wee, nimetongoza demu wa mjeda, alafu nikasahau code flani, nikamtumia message demu wake aje tulale, nikaona kimya nikapiga simu kapokea mwamba mwenyewe, usingizi umeisha nasubiri kesho pakuche nikazichape na mwana.. atae shinda ndio anachukua chombo 😅😅😅
Mimi intelli na kamanda mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania tutakuja kukupa support ya kukuangaliaaaa so worry out.
👉So ukipigwa tuta hadithiaaa
 
Back
Top Bottom