jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
KaribuPopoziiiiiiii
Jina lako gumu sana ashukuriwe Mungu kuna general jina "MKUU"
KaribuPopoziiiiiiii
Fanya hima kiongozi....ila usisahau kunitumia na tiketi kabisa! Passport ninayo tayariDenmark Odense, nikupe Adress uje?

Kwakweli mimi sio mrembo,bali ni ajuza..![]()
![]()

Yes darln and wonderful madeUsiogope ni list za warembo tu![]()
![]()
Ain't you beautiful?

Naam tupo mabundi tu popo wamekimbiaPopoziiiiiiii
Kwakweli ng'ombe hazeeki maini,bado nina uwezo wa kuandika,kama Mugabe alivyo na uwezo wa kuongoza![]()
![]()
![]()
Ajuza anaandika sentensi zimenyooka vizuri ivyo![]()
Unajua nilihamaki hivyo maana na hizo balimi ulizopiga usije nikosea adabu na kunipigia psyiiii ukifikiri mimi sio dada ako.Hahaha nasubiri akujibu, ila hujajibu kama na wewe ni mmoja wao ujue![]()

Hahahaha tatizo baby wako mbishi sana, anafikiri ile nchi ni Monarchy stateMaskini baby mwenzangu....nasikia wamemfanyia noma magogoni kwake
Eeeeh! Naomba uniazimishe huyo mwalimu wako kwa siku 3 tu ili nijue kama anamzidi uwezo mwalimu wanguHujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential![]()

Hujawahi kinieleza ni bakora ipi anakufundishia huyu kaka yangu, sisi michezo yetu ni very unique and healthy and more important good about the michezo is confidential![]()

Unaota jua ili upate vitamini D nini?aisee mi nimetoka nje kabisa niko barazani

Tafadhali usihamie huko kabisa, ukumbuke kuna mkufunzi umemwacha akisoma nambaFanya hima kiongozi....ila usisahau kunitumia na tiketi kabisa! Passport ninayo tayari![]()
![]()
![]()

![]()
![]()
Wacha weeh
Ndo maana siku izi naona unatoka shavu tu, kweli michezo ni afya![]()

Uwii scholarship itaingia mwisho wa mwezi thijui itatosha, au ujiazime tutarudishia tuFanya hima kiongozi....ila usisahau kunitumia na tiketi kabisa! Passport ninayo tayari![]()
![]()
![]()
Ujue mazoea yana tabu sana....sasa umri ule ukimtoa mjengoni atayaweza ya uraiani tena?Hahahaha tatizo baby wako mbishi sana, anafikiri ile nchi ni Monarchy state
Uwii scholarship itaingia mwisho wa mwezi thijui itatosha, au ujiazime tutarudishia tu
nasikia ndo mkakati wenu siku hizi,tukiwaomba nauli mwesema kopa ukifika nitakurudishiaKwakweli ng'ombe hazeeki maini,bado nina uwezo wa kuandika,kama Mugabe alivyo na uwezo wa kuongoza

Hii michezo tunayofanya kama una i feel positively lazima afya ipige hodi my kaka.![]()
![]()
Wacha weeh
Ndo maana siku izi naona unatoka shavu tu, kweli michezo ni afya![]()
