JamiiForums Usiku wa manane
Unajua nilihamaki hivyo maana na hizo balimi ulizopiga usije nikosea adabu na kunipigia psyiiii ukifikiri mimi sio dada ako.
Balimi sio za kisport mkuu so tahadhar lazima nichukue.
Huoni hapa ushasahau kama mimi ni dadako unataka majibu kutoka kwa watu?
Hahahaha aisee Leo sio bure kuna kitu mmetumia sio kwa mashambulizi haya
 
Unajua nilihamaki hivyo maana na hizo balimi ulizopiga usije nikosea adabu na kunipigia psyiiii ukifikiri mimi sio dada ako.
Balimi sio za kisport mkuu so tahadhar lazima nichukue.
Huoni hapa ushasahau kama mimi ni dadako unataka majibu kutoka kwa watu?
Kwakweli balimi hazina tabia ya kusahaulisha mtu,huyo atakuwa amekunywa mbege...
 
Back
Top Bottom