Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kazi ni kazi mkuu
Namuamin huyu shem hiyo kazi lazima izae mmatunda![]()
![]()
matunda yapi? Hayahaya ya baada ya miezi 9 au?Kazi ni kazi mkuu
Namuamin huyu shem hiyo kazi lazima izae mmatunda![]()
![]()
matunda yapi? Hayahaya ya baada ya miezi 9 au?hmm.!! shem nawe unanitupia jiwe gizani daah![]()

Hahahaha nitetee basi, kama nasalimiwa na umri huu nikifika kama wa Mughabe si ndo itakua kasheshe![]()
![]()
Naona unakimbia kivuli chako
![]()
![]()

Jje's ni dada wa Nganengo mkuu![]()
![]()
jje's, Thad, Maserati, Neybright

Hakuna ubaya kabisa, haina madhara ni kama nyoka ambaye hana sumu![]()
![]()
![]()
hyo hatariii

aisee, kwa namna hiyo inabid ungepewa kazi kitengo cha habari ikulu maana unaandika meseji vizuri hivo na bado unadai huoni,Komredi kwakweli kwa uchovu nilio nao hata keyboard siioni vizuri
![]()
![]()
Hata msiponikaribisha nitatumia kioo cha bibi yangu kuona yote mtakayofanya huko...

Usiogope ni list za warembo tuJje's ni dada wa Nganengo mkuu
Taratibu na list zako![]()
![]()
![]()

Bilashaka kwa 900 itapendeza zaidi....![]()
![]()
![]()
Na nyumba lazima ninunue![]()

Itapendeza zaidi![]()
![]()
![]()
Kama ndo ivyo itabidi tualike wachungaji na mashekhe wa kutosha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana shem, si ile kazi yako ya kwenye PC ulosema?
Ndo nimeisema hapo lazima uwakilishe kwa boss mapema tu baadae![]()
haya kama ulikwepo vile hiyo hiyo swadakta..!!Bila shaka huyo aloleta hiyo BMW ndio anastahili kuitwa shemeji![]()
![]()
hao wengine watatambulika kama mume wa dada

Hivi ana ile bakora anayoisemaga Nganengo?Hapana ila anajua huwa naenda kufundishwa![]()
![]()
![]()
jje's, Thad, Maserati, Neybright

Basi mnialike tu twende wote nikawe ripota wa popoz hukoHakika kama umesoma na Dr. Shika huwez shindwa hili![]()