dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
ooho.!!![]()
![]()
nipo niitolelee wap..sa nyingine kazi za usiku
![]()
![]()
kazi za usiku tena, embu nieleze vizur
ooho.!!![]()
![]()
nipo niitolelee wap..sa nyingine kazi za usiku
![]()
![]()
kazi za usiku tena, embu nieleze vizur
Hongera sana Dr. Shika,nasikia umefanikiwa kujidhamini![]()
![]()

Kumbee Thad anachonganisha ee..vp lkn hyo michezo Mzee anajua?Wala hakuna kitu kibaya Inna rafiki yangu, huwa KK ananifundishaga michezo fulani wakati mzee yuko bize, na michezo yenyewe haina madhara.
Unajua huyu Thad ana sababu zake tu wala usimsikilize
Hahaha na kweli, huyu ni zaidi ya CCTV camera![]()
Hata msiponikaribisha nitatumia kioo cha bibi yangu kuona yote mtakayofanya huko...nashukuru!! ubarikiweNimekuelewa shem
Haya![]()
Kwa kweli nimebobea kwenye utabibu wa macho,dr. Shika alikuwa classmate wangu kule Urusi
Hahaha hapana mimi wala warembo siwajuiSawa kijanaaa au nakuzibia rizik nn humu ndan za watoto wazur

Kuandaa nguo za kesho,kupiga pasooho.!!kazi za usiku tena, embu nieleze vizur
![]()

Hahahahha kweli umenikumbusha ndo mlipokutana kwa ajili ya mafunzoHahaha huyu nilikua namwona sana mirembe kipindi kile niko boarding![]()

Bila shaka huyo aloleta hiyo BMW ndio anastahili kuitwa shemeji![]()
![]()
![]()
Hivi ile BMW imepaki pale kwako ni ya nani?![]()
hao wengine watatambulika kama mume wa dadaKwa kweli nimebobea kwenye utabibu wa macho,dr. Shika alikuwa classmate wangu kule Urusi

hmm.!! shem nawe unanitupia jiwe gizani daahKazi ni kazi mkuu
Namuamin huyu shem hiyo kazi lazima izae mmatunda![]()
![]()

Hahaha hapana mimi wala warembo siwajui![]()
Ndo kina nani hao?
Na wewe ni mmoja wapo![]()
jje's, Thad, Maserati, NeybrightHapana ila anajua huwa naenda kufundishwaKumbee Thad anachonganisha ee..vp lkn hyo michezo Mzee anajua?

Hakika kama umesoma na Dr. Shika huwez shindwa hili![]()
![]()
Hata msiponikaribisha nitatumia kioo cha bibi yangu kuona yote mtakayofanya huko...

Komredi kwakweli kwa uchovu nilio nao hata keyboard siioni vizurihilo jukumu nakuachia wewe kamanda
ova natumai utalitendea haki kimsingi kabisa
duuh.!! sikuwezKuandaa nguo za kesho,kupiga pas![]()
hapo kama mpira basi hilo bao la kisiginoBila shaka huyo aloleta hiyo BMW ndio anastahili kuitwa shemeji![]()
![]()
hao wengine watatambulika kama mume wa dada

Ndo ivo yani, afu uku nilipo nimewaacha masaa mawili ko kwenu inakuwa ni usiku wa wanga na wanandoaWewe mbona hujajifunza? Au ndo ule msemo wa fuateni maneno yangu na si matendo yangu!![]()
![]()
![]()