JamiiForums Usiku wa manane
Wala hakuna kitu kibaya Inna rafiki yangu, huwa KK ananifundishaga michezo fulani wakati mzee yuko bize, na michezo yenyewe haina madhara.
Unajua huyu Thad ana sababu zake tu wala usimsikilize
 
Koh koh unajua siku izi unaandika maandishi madogo madogo mno alafu mimi nina matatizo ya macho
Bila shaka mbege ishakupofusha.... Hayo macho dawa yake ndogo,yawekee utomvu wa mnyaa changanya na pilipili kichaa utaona hata vilivyo mbinguni
 
Back
Top Bottom