Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Wewe mbona hujajifunza? Au ndo ule msemo wa fuateni maneno yangu na si matendo yangu!wadau mjifunze kulala, hata kama hamuna wa kulala naye mjikaze tu mfe kikondoo

Wewe mbona hujajifunza? Au ndo ule msemo wa fuateni maneno yangu na si matendo yangu!wadau mjifunze kulala, hata kama hamuna wa kulala naye mjikaze tu mfe kikondoo

Hii ni mida mibaya ya mwaka, watu tunaanza ku save 20% za mbege kwa ajili ya xmass, so tunafanya kazi kupitilizana siwez hudhuria muda mrefu hivi vimvua navyo vina kazi yake
![]()
kama kawaida yenu mwez wa 12 ndo huoooHii ni mida mibaya ya mwaka, watu tunaanza ku save 20% za mbege kwa ajili ya xmass, so tunafanya kazi kupitilizana siwez hudhuria muda mrefu hivi vimvua navyo vina kazi yake
![]()

Ndio dear ulikua hujui? Vp ulipotelea wap kuandaa mashamba au![]()
![]()
kumbe ana mume?
KK analijua hili?
Yaan kabanwa na kazi ila naona anavyozidi kukua ndivyo akili yake inampeleka pazuri. Anawaza mambo ya familia zaid. Nimefurah sana kwa hiloJje's mumeo stunter kapotelea wap?
Ndo maana nduguyo Nleterewa Nganengo haonekani hapa,yuko busy kukusanya pesa za kumpeleka kwenye sensa ya Krismas Moshi eeeh!Hii ni mida mibaya ya mwaka, watu tunaanza ku save 20% za mbege kwa ajili ya xmass, so tunafanya kazi kupitilizana siwez hudhuria muda mrefu hivi vimvua navyo vina kazi yake
![]()
kuna ishu nafukuzia keshoKesho kuna nn?
Hongeren san ndo kukua huko mana ilikuaga haipiti masaa kashaanzisha uziYaan kabanwa na kazi ila naona anavyozidi kukua ndivyo akili yake inampeleka pazuri. Anawaza mambo ya familia zaid. Nimefurah sana kwa hilo
Hata mm mahudhurio yangu sio kama zaman kwa ajili yake.
Yaan tumeshaanza kuwahi namba kabisa, tunaomba Mungu tukiwa na iman tutafika na 20 percent vyetu![]()
kama kawaida yenu mwez wa 12 ndo huooo
Nilikuwa sijui mpendwa,yaani nilimwachia KK nikijua hana mwingine kumbe ni mke wa mtu?Ndio dear ulikua hujui? Vp ulipotelea wap kuandaa mashamba au
Wacha weee![]()
![]()
Hakuna kitu kama mbege*2
Hata Manka simtaki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hakuna kitu kama mbege*2
Hata Manka simtaki![]()
![]()
![]()
my kaka mimi misi you mingiYa hela eee!kuna ishu nafukuzia kesho
siwezi kukwambiaYa hela eee!
Huyu ama yule....mbona wanichanganya? Ndo maana Kichwa Kichafu kapotea hapa jukwaani,nadhani kesha jua kua anaibiwaYaan kabanwa na kazi ila naona anavyozidi kukua ndivyo akili yake inampeleka pazuri. Anawaza mambo ya familia zaid. Nimefurah sana kwa hilo
Hata mm mahudhurio yangu sio kama zaman kwa ajili yake.

Na wewe kwa kuchochea moto hujambo![]()
![]()
kumbe ana mume?
KK analijua hili?

Yaan kabanwa na kazi ila naona anavyozidi kukua ndivyo akili yake inampeleka pazuri. Anawaza mambo ya familia zaid. Nimefurah sana kwa hilo
Hata mm mahudhurio yangu sio kama zaman kwa ajili yake.
