Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Unaogopa lindo na kazi za usiku 😅😅😅Sija muona wakumuogopa bado 😂😂
Unaogopa lindo na kazi za usiku 😅😅😅Sija muona wakumuogopa bado 😂😂
Ila nitakuwa nimekufa kishujaa sanaNa ndio maana siku hizi umekuwa doja punguza zabibu hizo utafia kitandani 😀
Kazi za usiku nafanya sema na lea mama mtoto kaja 😂😂😂Unaogopa lindo na kazi za usiku 😅😅😅
Ungeenda nao tu, yeye na mtoto 😅😅Kazi za usiku nafanya sema na lea mama mtoto kaja 😂😂😂
Tupo kwenye zoez la kumzibua mtoto masiki mwezi mzima 😂😂Ungeenda nao tu, yeye na mtoto 😅😅
Kila mtu ana upekee wakeMwachiluwi ni aina ya watu wakipekee sana....Mwaka huu lazima tupate tuzo hapa JF
Nimekuelewa Mzee wa kupambania Itabidi tumpe majaribio ya kwenda kuiba kwa watu 200, akifuzu basi huyo Others tutamfikiria.Bwana Others naona yuko serious achukue nafasi ya Mwachiluwi
Unasemaje Intelligent businessman na Analyse
Badala ya kuiba wl Mzee wa kupambania na National Anthem wanaanza kuwatongoza mademu wanaotakiwa kuwaibiaa aiseeTatizo la hao jamaa, ni wakabaji lakini nao ni walevi. Sasa ukishachanganya pombe na kazi, lazima uharibu.
Sio kibaka tu, mi ni mwizi wa kikataifa. Na Nina vijana Kama Mzee wa kupambania na National AnthemNakuona embu lala utakabwa humu kuna wezi Intelligent businessman huyu kibaks mzoef
Mzee wa kupambania badala apambanie hela, anapambania papuchi 😅😅😅Badala ya kuiba wl Mzee wa kupambania na National Anthem wanaanza kuwatongoza mademu wanaotakiwa kuwaibiaa aisee
Mwisho wa siku wanatongoza mademu ambao ni wanajeshi, hivyo inapelekea kushikwa kirahisiMzee wa kupambania badala apambanie hela, anapambania papuchi 😅😅😅
Shida ya mashangazi yanakupa yote tofauti na hawa mabinti, mahaba niue unapakatwa kama mtoto mixer kubebwa hadi mgongoni unafikiri utakumbuka kazi hapo😀😀😀Wew jana mbona ulifungiwa usiku na jimama la buza 😂😂
Wewe na Mwachiluwi mmenishinda tabiaaaShida ya mashangazi yanakupa yote tofauti na hawa mabinti, mahaba niue unapakatwa kama mtoto mixer kubebwa hadi mgongoni unafikiri utakumbuka kazi hapo😀😀😀
Mbususu tunazipambania ila mwisho wa siku value for money huioni. Vizinga tembo shoo sisimizi 😀😀😀Mzee wa kupambania badala apambanie hela, anapambania papuchi 😅😅😅
Acha niendelee kuwa single and happyMbususu tunazipambania ila mwisho wa siku value for money huioni. Vizinga tembo shoo sisimizi 😀😀😀
Huyo Mwachiluwi ndo hafai kabisa mtoto wa Sinza huyo hapo ndo uhuni ulipoanzia Dar hadi wakajiita Sinza kwa wajanja. Mimi maneno tu vitendo zero niko nje ya jiji huku Bunju BWewe na Mwachiluwi mmenishinda tabiaaa
Unataka uwe kama dronedrake yeye kaamua maisha yake ni nyeto? 🤔Acha niendelee kuwa single and happy
🤣🤣🤣Ngoja niende kazini mieView attachment 2536563