Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Safi. Nashkuru kusikia hivyo.Niko poa sasa
Safi. Nashkuru kusikia hivyo.Niko poa sasa
SanteSafi. Nashkuru kusikia hivyo.
Watu walikuwa kazini mkuu. Usiku ni kama mchana tu 😅😅😅Mme lala wote au ndio mmekumbatiana usiku uhu
Kesho wahi mapema mkuu. Tunaanza kazi saa sita kamili 😅Nipo MTAVA hapa naomba Kujoin Parade, Comrade!
Hiyo ni kama njombe hivi? Au?Mi nipo huku halali wanging'ombe mkuu
Tatizo la hao jamaa, ni wakabaji lakini nao ni walevi. Sasa ukishachanganya pombe na kazi, lazima uharibu.Mkuu yamenishinda, Nina wasiwasi na wezi wenzagu National Anthem na Mzee wa kupambania wasije kuwa wametekwa na fbi au mossad, kgb🤔🤐
Hadi ww nae umeajiliwa na Mzee wa kupambaniaWatu walikuwa kazini mkuu. Usiku ni kama mchana tu 😅😅😅
Kuna watu unakuwa na namba zao kwenye speed dial, ukipata msala tu, hao ndio wa kwanza kuwapigia. Hivyo ndivyo Mzee wa kupambania alivyoitunza namba yangu 😅😅😅😅😅.Hadi ww nae umeajiliwa na Mzee wa kupambania
Ndio, ni njombeHiyo ni kama njombe hivi? Au?
Huko baridi inavyogonga, saa mbili usiku kila mtu yupo ndani 😅😅😅Ndio, ni njombe
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna watu unakuwa na namba zao kwenye speed dial, ukipata msala tu, hao ndio wa kwanza kuwapigia. Hivyo ndivyo Mzee wa kupambania alivyoitunza namba yangu 😅😅😅😅😅.
Umempeleka wapi Dahan 😀Hadi ww nae umeajiliwa na Mzee wa kupambania
Kipindi hiki angalau kidogo, kuna kipindi mpaka mbupu huwa zinajificha kama hazipoHuko baridi inavyogonga, saa mbili usiku kila mtu yupo ndani![]()


Napajua vzr sana huo ukanda 😅😅😅Kipindi hiki angalau kidogo, kuna kipindi mpaka mbupu huwa zinajificha kama hazipo![]()
Nimetoka kwa dhamana sasa kama moto ndio wameumwagia petrol 🔥🔥🔥🙌Aliyekatwa atakuwa Mzee wa kupambania , maana yeye ndio hajaonekana tokea jioni 😅😅😅
Bwana Others naona yuko serious achukue nafasi ya MwachiluwiNipo MTAVA hapa naomba Kujoin Parade, Comrade!
Dawa yenu inachemka kasema boss Bantu Lady 😀Kumbe tupo wengi usiku wa kuamkia leo tulidoji
Daaah sio po mkabaji anakaba huku anayumba na bado anakimbiza bodaTatizo la hao jamaa, ni wakabaji lakini nao ni walevi. Sasa ukishachanganya pombe na kazi, lazima uharibu.
Mwachiluwi kawa muoga siku hizi. Anafungiwa ndani na demu wake. 😅😅😅Bwana Others naona yuko serious achukue nafasi ya Mwachiluwi
Unasemaje Intelligent businessman na Analyse
Ile ya usiku ilinichapaChapa kazi!
