Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Kati ya Dahan na Bantu Lady mmoja wapo inabidi aje kuwaongezea nguvu 😅😅😅Daaah sio po mkabaji anakaba huku anayumba na bado anakimbiza boda
Kati ya Dahan na Bantu Lady mmoja wapo inabidi aje kuwaongezea nguvu 😅😅😅Daaah sio po mkabaji anakaba huku anayumba na bado anakimbiza boda
Huyo wenzake tunaenda kuzisaka yeye anaendekeza kufungiwa ndani ngoja kubarua kiote nyasi ndo ataisoma namba 🤣Mwachiluwi kawa muoga siku hizi. Anafungiwa ndani na demu wake. 😅😅😅
Nafasi yake achukue Others
Dahan yuko bize na zabibu na jamaa yake huko😀Kati ya Dahan na Bantu Lady mmoja wapo inabidi aje kuwaongezea nguvu 😅😅😅
Anaendeshwa na Penzi jipya huyo 😅😅Huyo wenzake tunaenda kuzisaka yeye anaendekeza kufungiwa ndani ngoja kubarua kiote nyasi ndo ataisoma namba 🤣
Akamuulize Ngoswe penzi kitovu cha uzembe 😀Anaendeshwa na Penzi jipya huyo 😅😅
Dahan Yuko na uchovu wa morning glory. Atakuja baadae hapap😅😅😅Dahan yuko bize na zabibu na jamaa yake huko😀
Bantu Lady boss kubwa sijui tunamuanzia wapi aisee 🤔
Mambo ya morning glory sio poa lazima apate kamuda kakupumzika 🤣Dahan Yuko na uchovu wa morning glory. Atakuja baadae hapap😅😅😅
Akija hapa mwanzo mwisho anacheka tu 😅😅😅😅Mambo ya morning glory sio poa lazima apate kamuda kakupumzika 🤣
Angojeee nife ndio achukue 😂Bwana Others naona yuko serious achukue nafasi ya Mwachiluwi
Unasemaje Intelligent businessman na Analyse
Sija muona wakumuogopa bado 😂😂Mwachiluwi kawa muoga siku hizi. Anafungiwa ndani na demu wake. 😅😅😅
Nafasi yake achukue Others
Haufi leo wala kesho wewe 😀Angojeee nife ndio achukue 😂
Wew jana mbona ulifungiwa usiku na jimama la buza 😂😂Huyo wenzake tunaenda kuzisaka yeye anaendekeza kufungiwa ndani ngoja kubarua kiote nyasi ndo ataisoma namba 🤣
Ahhahah labda anibizie anikabe ani kill lakini ajue nilienda china kwa ajili ya judoHaufi leo wala kesho wewe 😀
Kazimaliza zabibu zote mpaka Bantu Lady amekosaDahan yuko bize na zabibu na jamaa yake huko😀
Bantu Lady boss kubwa sijui tunamuanzia wapi aisee 🤔
Kumbe unajua utamu wake wa penzi jipya mda wote unataka ukae nae tu 😂Anaendeshwa na Penzi jipya huyo 😅😅
Kwa hiyo unamaanisha saivi ana mautamu sio poa 🤔😀Kazimaliza zabibu zote mpaka Bantu Lady amekosa
Kumbe umeelewa vizur zabibu zinaongeza hamu ya tendo 😂Kwa hiyo unamaanisha saivi ana mautamu sio poa 🤔😀
Na ndio maana siku hizi umekuwa doja punguza zabibu hizo utafia kitandani 😀Kumbe umeelewa vizur zabibu zinaongeza hamu ya tendo 😂
😅😅😅😅 Masaa mawili unayaona kama dakika 20 tuKumbe unajua utamu wake wa penzi jipya mda wote unataka ukae nae tu 😂