Lokii
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 708
- 2,091
Mi nipo huku halali wanging'ombe mkuuUnapigwa baridi ukiwa wapi? Njoo mfugale hapa [emoji28]
Mi nipo huku halali wanging'ombe mkuuUnapigwa baridi ukiwa wapi? Njoo mfugale hapa [emoji28]
Mkuu yamenishinda, Nina wasiwasi na wezi wenzagu National Anthem na Mzee wa kupambania wasije kuwa wametekwa na fbi au mossad, kgb🤔🤐Poa poa master
Scotland Yard.Mkuu yamenishinda, Nina wasiwasi na wezi wenzagu National Anthem na Mzee wa kupambania wasije kuwa wametekwa na fbi au mossad, kgb[emoji848][emoji850]
Chapa kazi!Hamna siku nimepatikana kama leo! Maaaninnah! Kazi kama azabu!View attachment 2536457
Kwa upande mwingine, Huu ndio muda bora zaidi wa kufanya Maombi na tafakari za maisha.Mida ya wanga imekaribia [emoji89][emoji88] na raia ndio mmelala [emoji3]
Ahsante sana kwa ku_share nasi.
Yeah sure, mida ya wanga ndio muda mzuri wa maombi piaKwa upande mwingine, Huu ndio muda bora zaidi wa kufanya Maombi na tafakari za maisha.
SiwaoniMbona Twipooo!