Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,743
- 6,283
Hakuna kulala mkuu.. 😁
Hakuna kulala mkuu.. 😁
Muda wa kukabidhi lindo bado sanaHakuna kulala mkuu..![]()
Ukiliweka chini ya mto usiku kama huu wachawi hawakusogeleiEti jamanii... yai viza ni dawa ya nini?..![]()
Soon naweka invisible silent modeHakuna kulala mkuu.. 😁
🤗 karibu lenie2:33
Harufu ya jasho kaliEti jamanii... yai viza ni dawa ya nini?.. 😂😂

mkuuAsante best, nalinda usalama hapa🤗 karibu lenie
Dahan mama za uzimaNdioo![]()
Vizuri tunalinda woteAsante best, nalinda usalama hapa
Salama kabisaa mchungaj😂😂Dahan mama za uzima
Ngoma hadi kuchee hiiVizuri tunalinda wote
Mdada usijue sana kiasi tu inatosha ,ukijua sana utaanza kiburi kwa mumeoMdada haaruhusiwi kujua vitu kwani?![]()
Utawezana????Ngoma hadi kuchee hii
Tulia ujionee😅Utawezana????
Umesahau kula sana sanaaaNawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu ,
omba sana,fanya kazi kwa bidii ,kuwa Smart kichwani, soma sana kuongeza maarifa usiache,jipendee sana,jipe zawadi sana tuone una kwama wapi
Kwamaa arsenal mmeshamtanga bingwa ama ngojeni muone maajabu EPL ni motoYaani tangu wabebe lile kombe jana daah imekua ishu sana waana perform kinoma city tukizubaa tunaweza malizz wa 3 maaan sio kwa huo moto ila huu mwezi mtamu sana subiri tuone mtanange![]()