JamiiForums Usiku wa manane
City wako stressed sana sijui kuna shida gani, tangu aje halaand
Wanawaza kupigwa panga
Screenshot_20230302-015630_Chrome.jpg
 
Dah. Angalau napata moyo kidogo, maana sio kwa hizi losses zisizoisha
Chelsea kikosi kipo vizuri ila kinakosa muunganiko wa kocha, ngolo kante nae kaanza mazoezi. Fukuza potter mtanishukuru
Man utdkupoteza game for sasa ningumu

Their midfield is on fire n team is playing with higher morale
Niliangalia ile fainalu yap ya carabao they are cooking 😍😍
Wanashinda kikatili sana, wanastahili kumtoa man city nafasi ya pili.
 
Nmekaa hapa sina usingizi japo leo job ilikua busy day sana.

Natulia kuna mdau akanambia Bongo washachangamsha mji, nikamuuliza nn akanitumia video ya yule afande anamegwa.

Aisee nmetapika kabisa, yan jamaa limevaa shanga na vikuku kabisa af lilivo libaya na limekomaa, duuuh. Yan natafuta pisi kali nivideocall nayo ili nisafishe macho hio picha itoke lkn pisi zangu zote zimeshalala sshv. Jf kama kuna pisi njoo inbox nakulipa kwa dollar
 
May GOD of Israel visit yourfamily

Usipende kuilisha akili yako mambo mabaya esp at midnight is not good at all
Pole sama
 
Back
Top Bottom