Wanatisha ngoja tuwaone kwa real betis na liverpool, yaani utd mechi haiishi mpaka iishe. Dakika 15 kwao ni nyingi na zinatosha kuwapa matokeo.Kwa sasa wana spirit nzuri. Wakitanguliwa na goli moja alafu wakafanikiwa kurudisha, wanashambulia sana na uwezekano wa kumfunga mpinzani ni mkubwa.
Hata kama hujala Intelligent businessman ...😂😂Hakuna kulala
Dahan ndugu yangu Mungu akuweke sanaHata kama hujala Intelligent businessman ...😂😂
acha tunenepe kiasi huu mwakaNakubali Soka Inapigika Aiseeee Hapo Bado Mpiga Simu Anarudi
Shukrani mkuu, kwema?Half american nakusalimu mkuu 🙏
Kwema napita kuwasalimu niwaache kijiweniShukrani mkuu, kwema?
Tuliteseka sana.acha tunenepe kiasi huu mwaka
Karibu mkuu tupo na soka kijiweni, kuna timu zimekua tishio sana msimu huuKwema napita kuwasalimu niwaache kijiweni
….ya hayo maneno yananikumbusha wimbo wa Zuchu. Hakuna KulalaHakuna kulala
😂😂😂 Chukua mto man! 😂😂Tone…
….ya hayo maneno yananikumbusha wimbo wa Zuchu. Hakuna Kulala
ila ndo hivyo tena single boy nipo zangu alone in the house😂😂
Na next 4 games ni mchelea kinoma tukaze tu!Tuliteseka sana.
Iwe kwetu sote mkuu
Tuliteseka sana.
Acha Chelsea tukonde😓😓acha tunenepe kiasi huu mwaka