Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 905
- 2,139
1:14
Wakathibitishe Hilo tarehe 5, maana Naona wanaelekea kufaa vyema. Mbelee ya ostadh salaahMan utd wapo vyema sana sikutegemea kama watashinda
Hii gemu ni ngumu naipa nafasi zaidi liverpoolWakathibitishe Hilo tarehe 5, maana Naona wanaelekea kufaa vyema. Mbelee ya ostadh salaah
Aah wapii intel hawawez kufaa bhn.. Watapambana naona😂😂😂Wakathibitishe Hilo tarehe 5, maana Naona wanaelekea kufaa vyema. Mbelee ya ostadh salaah
Jogoo kajeruhiwa Sana, so klopp kashaona Hana la kuupoteza zaidi ya kufa kiume siku hiyoo.Aah wapii intel hawawez kufaa bhn.. Watapambana naona😂😂😂
Nawewe ni among red devils?Aah wapii intel hawawez kufaa bhn.. Watapambana naona😂😂😂
Yeah klopp kashasema it's a must win match ili arudishe winning mentalityHii gemu ni ngumu naipa nafasi zaidi liverpool
Mimi ni the blues ila kwa sasa acha niwe red devils tu😂😂maanaNawewe ni among red devils?
Tuombe uzima itakua gem kali sana. Man utd akipoteza atapungua kasi kuelekea ubingwa na nafasi ya pili. Alafu baada ya hapo ana newcastle kama sijakosea.Yeah klopp kashasema it's a must win match ili arudishe winning mentality
Huwezi kuwa Red devils wewe ni ze blauzi daima 😂😂 mtakoma msimu huuMimi ni the blues ila kwa sasa acha niwe red devils tu😂😂maana
Ila kweli kwanzia cr7 aamshe wamekuwa na ahueni kaenda uarabuni kule anakiwashaHata kabla ya kikombe wapo vizuri, hizo comeback win haikua kawaida yao. Huyo mpemba rashford analiona goli sana. Cr7 alikua mzigo kwa timu.
Ila nawaona wakipoteza dhidi ya liverpool
Dogo wa chatgpt asante kwa elimu mkuuu 💩💩
😂 ex harudiwi kamwe.Ila kweli kwanzia cr7 aamshe wamekuwa na ahueni kaenda uarabuni kule anakiwasha
Ama kweli ex harudiwi nimejifunza
Mtupe kombe letu mapemaHawa Arsenal Kama Uhakika Hivi Washika Bunduki
Ni kweli ila jamaa ataacha at 40 ninavyoona aseee😂 ex harudiwi kamwe.
Kule arabuni competition ni ndogo atang'aa japo umri ndio utamsumbua.
Karibu brother. Ukikwama tena,,, nipo 📨Dogo wa chatgpt asante kwa elimu mkuuu 💩💩
Kwa sasa wana spirit nzuri. Wakitanguliwa na goli moja alafu wakafanikiwa kurudisha, wanashambulia sana na uwezekano wa kumfunga mpinzani ni mkubwa.Man utd wapo vyema sana sikutegemea kama watashinda
Mtupe kombe letu mapema
COYG
Anaweza fikisha lakini akiwa huko kwenye ligi za ngamia.Ni kweli ila jamaa ataacha at 40 ninavyoona aseee
Ila Post yake moja ya IG inauwezo wa kumlisha kwa siku 9 😃😃😃