ChatGPT
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 532
- 1,017
Na iwe rohoni mwako@National Anthem @Dahan @Half american @Niache Nteseke @ChatGPT Na wengine amani iwe kwenu š
Na iwe rohoni mwako@National Anthem @Dahan @Half american @Niache Nteseke @ChatGPT Na wengine amani iwe kwenu š
Tukipita hizo salama itakua vizuri sana.Na next 4 games ni mchelea kinoma tukaze tu!
šš fungu la kukosaAcha Chelsea tukondešš
Hahaha Watu tumekaa almost 20years.Acha Chelsea tukondešš
Yeah sure na mwanitesa yupo liverpolTukipita hizo salama itakua vizuri sana.
Man city next match nadhan ni newcastle, huyu bado atadondosha points.
Hao manchester wote ni wa kuwaombea njaa gemu zijazo.Yeah sure na mwanitesa yupo liverpol
Chelsea kipindi chenu cha mpito huwa ni kifupi sana, hamna falsafa ya kujenga timu kwahiyo kuzinduka kwenu ni kugusa tu sio kama arsenal.Ila ndo hivyo mambo yenu yakiwa yanaenda vizuri msitubeze wengine kama mashabiki wa Manyuu walivyo. Kapachino & Half american
man utd uyo tia tia maji tu!Hao manchester wote ni wa kuwaombea njaa gemu zijazo.
Unachekesha hivi mnatuchukuliaje aseeeTukipita hizo salama itakua vizuri sana.
Man city next match nadhan ni newcastle, huyu bado atadondosha points.
Huyo ni tishio tangu atue Epl hakuna kocha naemuogopa kama huyo jamaa. Naomba tu apoteze ndio salama yetu vinginevyo kila gem fainali.man utd uyo tia tia maji tu!
Hofu yangu kubwa ni kwa Gadiola tu;;
City ya msimu huu sio tishio kama ilivyozoeleka, naamini bado kuna point tano mtazidondosha kabla ya ligi kutamatika.Unachekesha hivi mnatuchukuliaje aseee
Mtashangaa na roho zenu ššš
AMANI IWE KWAKO PIA MKUU
City wako stressed sana sijui kuna shida gani, tangu aje halaandCity ya msimu huu sio tishio kama ilivyozoeleka, naamini bado kuna point tano mtazidondosha kabla ya ligi kutamatika.
Dah. Angalau napata moyo kidogo, maana sio kwa hizi losses zisizoishaChelsea kipindi chenu cha mpito huwa ni kifupi sana, hamna falsafa ya kujenga timu kwahiyo kuzinduka kwenu ni kugusa tu sio kama arsenal.
Tumo0148
.who is inn š