Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
00:45
😂😂😂😂😂😂 mi ndo maana sitakagi nyumba za baba/mama wenye nyumba wenye njaa..maana huwa wanahesabu tarehe hatari yani hawavushi 😂😂😂…ingetakiwa apigwe mtama kidogo😅😅😅😅 Acha mkuu, madeni ni noma. Kuna kipindi fulani baba mwenye nyumba wangu alipigiwa kelele ya mwizi, maana alikutwa anachungulia dirishani kwangu, raia wakahisi anataka kuchana nyavu. Kumbe Mzee alikuwa anasikilizia kama nipo au la? Maana ananidai alaf nilikuwa nampiga chenga sana 😅😅😅
0:4600:45
Na yeye ni binadamu ,he deserve all the pleasure 😂😂Una date na mlinzi?
Maneno kama haya yananipa mfadhahiko wa moyo na Figo.Nijitahidi na Mimi niwe mkubwaNabebishwa hapa meanwhile nspitapita na humu kucheck check 😃
Mzee kila nikimwambia hela sina, avumilie. Yeye anakazania kuniambia jinsi alivyopata tabu kuijenga nyumba yake 😅😅😅😂😂😂😂😂😂 mi ndo maana sitakagi nyumba za baba/mama wenye nyumba wenye njaa..maana huwa wanahesabu tarehe hatari yani hawavushi 😂😂😂…ingetakiwa apigwe mtama kidogo
Pleasure saa saba kasoro usiku?. Atakuwa lindo huyo 😅😅Na yeye ni binadamu ,he deserve all the pleasure 😂😂
😂😂Mzee kila nikimwambia hela sina, avumilie. Yeye anakazania kuniambia jinsi alivyopata tabu kuijenga nyumba yake 😅😅😅
Aah sijakataa lakiniPleasure saa saba kasoro usiku?. Atakuwa lindo huyo 😅😅
Mwambie ajiunge JF 😅😅😅Aah sijakataa lakini
Wewe niachie tu najua nafanya nini😁😁
😂😂 mda anatoa wapiMwambie ajiunge JF 😅😅😅
Hahahaha noma sana. Ila nahisi time hii ntakuwa break, mnataka kuitafuta ya tatu 😅😅😂😂 mda anatoa wapi
Mlinzi wangu asubui yote analala usiku ndo kama hivi, sitaki achoke sana😀
Haya nikaushie basi 😂😂Hahahaha noma sana. Ila nahisi time hii ntakuwa break, mnataka kuitafuta ya tatu 😅😅
Naomba nije kupiga chabo 😅😅😅Haya nikaushie basi 😂😂
KaribuNaomba nije kupiga chabo 😅😅😅
Share location chapKaribu