Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
HiHellow
HiHellow
Napokea baraka mtumishiBarikiwa...na kwako pia![]()
Na kwako pia mremboUsiku mwema
AminaNapokea baraka mtumishi
Why upo macho this late madam?
Asante sanaNa kwako pia mrembo
HelloHellow
Kuna mtu kanichelewesha...🙄 Afu nothing happened 🤨😏Why upo macho this late madam?
Habari mkuuHello
Acha basi? Kala nauli au kapitiwa na usingizi kwenye sofa? 😅😅Kuna mtu kanichelewesha...🙄 Afu nothing happened 🤨😏
Tunaoamka sa hivi tunahitaje hii kitaalam?Usiku mwema
Wee ndugu yangu,mambo ni mengi mno afu ya ajabuajabu...sema hapa ni public mno ningekuelezeaA
Acha basi? Kala nauli au kapitiwa na usingizi kwenye sofa? 😅😅
Mkesha mwemaTunaoamka sa hivi tunahitaje hii kitaalam?
Usimwage mchele kwenye kuku wengi, fungua mlango 😊😊😊Wee ndugu yangu,mambo ni mengi mno afu ya ajabuajabu...sema hapa ni public mno ningekuelezea
Bado mapema sana rafikiMkesha mwema
Sawa mkuu😉Usimwage mchele kwenye kuku wengi, fungua mlango 😊😊😊
Sawa mkuuBado mapema sana rafiki
Sawa madam 😊Sawa mkuu😉