JamiiForums Usiku wa manane
Na wewe jana mwizi wa kimataifa sijakuona ulienda kupiga tukio nini? Niliwaona Mwachiluwi na Dahan sijui nini kilikuwa kinaendelea kati yao saa 9 usiku wanachat wanacheka wanasema zabibu zinaongeza nyege 😀😀😀
Aisee Dahan, Bantu Lady, Mwachiluwi na National Anthem Mbona hamjaniambia Kama zabibu zinaongeza nyegee.
Maana huwa ninazila Sana, ndo Mana ....🤬🤬
Asante Mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania kwa kunipa Siri hii nzito sana
 
Back
Top Bottom