Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,471
- 96,925
Mnasikitisha Sana, coz hamuwezi mkaja lindoni asubuiMkuu wa lindo makamanda wako tupo hapa 😅
Mnasikitisha Sana, coz hamuwezi mkaja lindoni asubuiMkuu wa lindo makamanda wako tupo hapa 😅
Naona kijana umefuzu kaam muhuni anayechipukia National Anthem.🤣🤣🤣 mtaji mbio. Unaweza kuniona nimetulia pub au bar kumbe nawalia mingo watakaolewa
Kamanda leo nitakuwa lindoni mwanzo mwishoMnasikitisha Sana, coz hamuwezi mkaja lindoni asubui
Ni mwendo wa kujikwamua kiuchumiNaona kijana umefuzu kaam muhuni anayechipukia National Anthem.
👉Sera yetu ni panga mkononi, roho beganu
Kamtaji kamekua nimenunua boda mwendo wa kukwapua wanaongea na simu njiani..😅Naona ndio unatoka kazini sasa 😅😅😅😅
Walevi usiku wao wa Jana, umepita kwa tabu sana, sababu yako 😅😅
Poo poo mbili zinavuka mtooo😂😂😂Hizi tunaziitaje vile boss maringo Bantu Lady, mcharuko@dahan, mwizi anayechipukia National Anthem, mzee wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mtamboo Poor Brain, na crazy loverView attachment 2532156
Nilikimbia janaLet's keep the race on guys boss Bantu Lady, mcharukoo Dahan mzee wa mizagamuano Mzee wa kupambania, kibaka anayechipukia National Anthem, don Mafian cartel, crazy lover @kalifonia, akili kumkichwa Poor Brain
Huyu ni tembo kweliiHizi tunaziitaje vile boss maringo Bantu Lady, mcharuko@dahan, mwizi anayechipukia National Anthem, mzee wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mtamboo Poor Brain, na crazy loverView attachment 2532156
Huyu itakua ni kaj - ala😂😂Huyu ni tembo kwelii
Kuna mabinti wamepitwa na huyu temboo😂😇Poo poo mbili zinavuka mtooo😂😂😂
Ni yeye, Tena amejaaliwa uzuri na shape hadi rahaHuyu ni tembo kwelii
Nimeshangaa sana tembo gani huyoHuyu itakua ni kaj - ala![]()

Ana mtindi mzuriNi yeye, Tena amejaaliwa uzuri na shape hadi raha