JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

My babies mcharukoo Dahan, na Bantu Lady mnasikia au nimwambie don Mafian cartel aongeze sautii.
👉Maana Kuna mabinti ni Kama wana beach au ziwa nile vifuani mwao🙈🙊
Sasa kuna wanaume wanapenda izo beach balaaa😂😂😂yan wanaume bhana wanahuruma saana muda mwingine..
Na wengine wanapenda izo za kuzooomm tuone😂😂😂
 
Una evidence au maana visa vingi vya kutoeleweka vipo upande wenu

Tumeskia visa vingi vya wanawake wanaopewa kila kitu na wanaume zao but still wakachepuka na boda boda
😂😂😂Sijakataa ndo mana nikasema sometimes wanaume pia hamuelewekii..
Hapo ujue kunakitu amekosaa huyo😂😂😂
Wanawake tunataka perfect man (ambae hayupo) 😆😆
Ukiwa huna pesa unapiga show ya kibabe tunataka utafute pesa😃😃
Ukipata pesa ukapunguza show ni sheeda.. Maana unakua unadhan mwanamke anahitaj tuu izo pesa zako.. 😂😂😂
Ukiwa na pesa na show kali alafu huna muda na mwanamke wako pia lazma likukute jambo😂😂😂
Kubalance mambo mengi kwa mwanaume ndo shida... na mwisho wa siku ndo vimbwanga vya kugongewa na wenye pesa, wanaopiga show kali, wenye time na wake za watu.. Wanafaidi mema ya nchii cjui ya dunia😂😂😂😂ivo yan
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sijakataa ndo mana nikasema sometimes wanaume pia hamuelewekii..
Hapo ujue kunakitu amekosaa huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake tunataka perfect man (ambae hayupo) [emoji38][emoji38]
Ukiwa huna pesa unapiga show ya kibabe tunataka utafute pesa[emoji2][emoji2]
Ukipata pesa ukapunguza show ni sheeda.. Maana unakua unadhan mwanamke anahitaj tuu izo pesa zako.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na pesa na show kali alafu huna muda na mwanamke wako pia lazma likukute jambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kubalance mambo mengi kwa mwanaume ndo shida... na mwisho wa siku ndo vimbwanga vya kugongewa na wenye pesa, wanaopiga show kali, wenye time na wake za watu.. Wanafaidi mema ya nchii cjui ya dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivo yan
Ile nyie ndo chanzo kwanini hamridhiki mnataka kila kitu [emoji23]
 
Back
Top Bottom