JamiiForums Usiku wa manane
Sio lazma wakusumbue wewee,, kila mtu na background yake😂😂😂
Hi😇😇🤕🤬
20221225_220905.jpg
 
Unajua mkuu kuna sehemu au muda ukifika kwa sisi wanaume,
utaona Hawa wanawake ni Kama wanakutoa katika njia yako ya Safari ya mafanikio. Overated
Exactly tena wale wanao kuja kuchuma tu(Gold diggers)

Pesa kwa mwanaumee ni muhimu hata utaweza ku enjoy hayo mapenzi

Mfano siku unatamani ukabadilishe mandhari unatoka tu na manzi yako,tofauti na ukiwa na hela za mawazo unashindwa hata kwenda ku refresh
 
Nishasema kuwa if i get the right one and if she is worth it, basi sitofikiria mara 2× coz👉
👉coz I would like my woman to experience some of the world fantasy and that requires money,
But if I find a girl who had bunch of them then iam less motivated.

👉I can't just find a new chick, and start buying her shits or spilling my money on her that is a big hell no
 
Back
Top Bottom