glory 
na mama glory 06:06 🤣Tajiriii Mwachiluwi, wapii madam Bantu Lady na mcharuko Dahan na wazee wa mizagamuano National Anthem and Mzee wa kupambania
🤣🤣🤣 mtaji mbio. Unaweza kuniona nimetulia pub au bar kumbe nawalia mingo watakaolewaHuyo Bantu Lady kashindwa hata kuingia ndani, kalala mlangoni. Mzee wa kupambania ni mkabaji, anaishi kwa nguvu za macho na mikono, mtaji mbio. Mida hii utamkuta daraja la mfugale,anategea walevi 😅
Mkuu wa lindo makamanda wako tupo hapa 😅Let's keep the race on guys boss Bantu Lady, mcharukoo Dahan mzee wa mizagamuano Mzee wa kupambania, kibaka anayechipukia National Anthem, don Mafian cartel, crazy lover @kalifonia, akili kumkichwa Poor Brain
Muda wa kuingia kwenye mpambanoTime to wake up guys Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Poor Brain, Mafian cartel, Analyse, Mwachiluwi coz hatua zinaanza mapemaaaaaa
Time to wake up guys Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Poor Brain, Mafian cartel, Analyse, Mwachiluwi coz hatua zinaanza mapemaaaaaa


Hivi kumbe maji yanaleweshaga eeAngalia usizime madam
Shukran master. Kumekucha sasa, tukapambaneTime to wake up guys Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Poor Brain, Mafian cartel, Analyse, Mwachiluwi coz hatua zinaanza mapemaaaaaa
Naona ndio unatoka kazini sasa 😅😅😅😅🤣🤣🤣 mtaji mbio. Unaweza kuniona nimetulia pub au bar kumbe nawalia mingo watakaolewa
Inategemea ni maji ya Nini? 😅😅😅Hivi kumbe maji yanaleweshaga ee
Yakiwa maji ya ibilisi ni sawaaHivi kumbe maji yanaleweshaga ee