Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,138
Nakubaliana na weww mkuu ni kweliMkuuu, haya magonjwa ni ya kurithi chief. Unajua mtu anaeza zuia mafua ila sio ugonjwa wa uti wa mgongo??
Au kuathirika kwa ubongo??
Sema nayo changamoto duuh
Kuna ule damu inashindwa kuganda mbona kama ushapoteaga hvi...